Forum

Kwa wale wenye mahusiano ya kudumu, ukiwa hujisikii kufanya kufanya mapenzi na mtu wako unavyomkatalia usisahau kumwambia unampenda  


mchepuko
Posts: 4
Admin
Member
Joined: 1 year ago

Inatokea sana kwenye mahusiano unakuta mnaishi pamoja na mpenzi wako nyumbani. yeye anaweza akawa na hamu na wewe ya mapenzi ila wewe ukawa hujisikii kufanya mapenzi kwa mda huo, Wengi wetu huwaga wanakataa mara moja hasa hasa kama ukimkuta mtu na stress zake au kachoka. Hio sio nzuri, wataalamu wanasema ukimfanyia mpenzi wako hivyo anajisikia vibaya sana anakuwa anahisi wewe sio kwamba huna hamu ya mapenzi tu au umechoka, ila anahisi kwamba wewe huna hisia yoyote na yeye. Hiko ni kitu ambacho sio kizuri mara nyingi mwisho wake huwaga ni mbaya.

Unachotakiwa kufanya, unatakiwa utoe sababu ya kutofanya nae mapenzi kwa utaratibu na ustaarabu kisha baada ya hapo mpe hug kidogo mwanbie hata sikioni kwamba unampenda sana. Hio inasaidia sana ina mpa moyo mpenzi wako ana hisi mpo pamoja kimapenzi hata kama hamjafanya chochote

 

1 Reply
kejo
Posts: 2
 kejo
New Member
Joined: 8 months ago

Wazo zuri sana asante

Reply
Share: