Forum

Natombana sana mda mrefu tatizo sikojoi  


hamza899
Posts: 3
New Member
Joined: 8 months ago
Shida yangu mm ipo tofauti na wengine, naamin wengi wanawahi kukojoa wakati wa mapenzi ila mm nitofauti. 
Naweza nikadumu hata saa zima bila kukojoa. wanawake huwa wanafurahi sana kwa pale mwanzoni huwaga inaenda mpaka
wanakojoa. Ila mda unavyozidi kwenda nahis inakua kero kwao Namm najikuta sijamaliza haja yangu. Napata shida maana
ataniomba niache kufanya wakati mm sijaridhika. Eti wadau tatizo kama hili suluhisho inaweza ikawa nn tusaidiane.
4 Replies
Mr. Vishati
Posts: 2
New Member
Joined: 8 months ago

Duh watu wanamatatzo

Reply
Chopa boy
Posts: 1
New Member
Joined: 9 months ago

Jitahid kuvuta hisia za kimapenzi au tafuta mwanamke ambae unampenda

Reply
Sara
Posts: 1
 Sara
New Member
Joined: 8 months ago

Kamuone dr akupe ushauli 

Reply
jameskaz
Posts: 3
New Member
Joined: 8 months ago

Noma sana. Labda ujaribu kutumia viagra ndo unaweza ukapunguza mda wa kutomba maana wewe upo kinyume sana ndugu 😀  😀 

Reply
Share: