Forum

Nimepata mchumba mpya naona nimemdatisha sana na mapenzi yangu  


kejo
Posts: 2
 kejo
New Member
Joined: 8 months ago

Siku ya kwanza kulala na mpenzi wangu ilikua kawaida sana sikufanya mengi nahisi na yeye alijua tu ni mtu wa kawaida kama aliepita. Ila tulivyo endelea nilikua nampa hardcore sex, yaani ile ya kibishi michezo tofauti tofauti style zote hajawahi ona yeye mwenyewe akasema alikua hajawahi kojoa ndo ilikua mara ya kwanza. Story yetu ipo ivh.

Mpenzi wangu nimempatia chuoni. Yeye amemaliza secondary yake mkoani Dodoma amekuja dar es salaam kwa ajili ya chuo hapo ndo tulipo fahamiana. Kwa story yake alivyo kuwa ananiambia alishawahi kuwa na mahusiano na mvulana wakati wakiwa sekondary. Ameniambia pia washawahi fanya mapenzi na yule boyfriend wa zamani na ni yeye pekee hamna mwengine zaidi yake. Ilitokea akaja akawa rafiki yangu wa karibu sana. Alikua ananihadithia story nyingi sana za kuhusu mahusiano yao ya hapo mwanzo. Mimi nilikua nasikiliza naona kama ananichosha na ananikera zaidi mda mwengine yule jamaa anapiga simu mimi nipo apo apo wanaongea. Nilitafakari sana nikawaza huyu mwanamke wa aina gani? Ana mapenzi kiasi gani na huyo mtu kiasi kwamba yupo na mwanaume mwengine anaongea na bwana wake bila wasiwasi. Ila nikasema sawa labda ana mapenzi ya kweli na ni mtu ambayo muwazi sana.

Mimi pale mwanzoni nimeona ananivutia na nilikua namtaka kulala nae kimapenzi tu afu basi ningeridhika( kiufupi nilimtamani sikumpenda). Na yeye nahisi alishitukua nachokitaka alinibania sana ule mwezi wa kwanza inafika kipindi adi naona anataka tuache urafiki wenyewe. 

kwa vile nilikua nataka mambo nikasema acha niwe mpole nikapunguza kasi ya yale mambo. Ila mwisho wa siku yeye mwenyewe akajileta gheto tukawa tunasoma wote mimi nikaona leo haiwezekan nahisi na yeye alikua ashapangia tufanye sex. Basi siku ya kwanza mambo yalienda frsh ila kawaida sana. Sema mda ulivyo enda naona akaanza kumletea pozi bwana wake wa zamani mara kunipost mimi status za wasap. Naona mapenzi yote kaamishia kwangu anamuita yule jamaa boya tu alikua hajui kitu 😀  😀  😀 

Yaani saizi  naona anapenda dudu hatari na mapenzi yote kaamishia huku. akitoka chuo tu lazima aje geto nimfanyie kazi.

Ila nimegundu kitu hakika wanawake wengi hawaridhiki na bwana zao ama hawajawahi kutana na watu ambao wanajua mapenzi ya kitandani. Ushauri wangu vijana fanyeni mazoezi uwe na pumzi bila ivyo unakua unamgusa gusa tu dem wako siku akikutana na mnyamwezi yupo vizuri unashangaa anakuhama fasta

1 Reply
mchepuko
Posts: 4
Admin
Member
Joined: 1 year ago

haya mzee wa kazi umetisha

Reply
Share: