registration procedures

Jinsi Ya kujiunga

Bofya juu kabisa kwenye sehemu ilio andikwa Menu

kisha bonyeza Register account

Then Jaza form

Ukishajaza jaza form bofya register

Baada ya hapo nenda kwenye menu bofya login kisha jaza username yako na password (swali la hesabu linaweza litokee au likatokea. likitokea jaza jibu mara moja hata isipo onyesha haina shida. )

     

Usisahau kubonyeza remember me)

Utakuwa umemaliza Utaweza kupost comment au kuandika topic yako yoyote